Sura 64 At-Taghabun, aya 12

  1. وَأَطِيعُوا اللَّهَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ ۚ فَإِنْ تَوَلَّيْتُمْ فَإِنَّمَا عَلَىٰ رَسُولِنَا الْبَلَاغُ الْمُبِينُ

    Tafsiri ya maneno

    وَأَطِيعُوا۟
    So obey
    ٱللَّهَ
    Allah
    وَأَطِيعُوا۟
    and obey
    ٱلرَّسُولَ
    the Messenger;
    فَإِن
    but if
    تَوَلَّيْتُمْ
    you turn away,
    فَإِنَّمَا
    then only
    عَلَىٰ
    upon
    رَسُولِنَا
    Our Messenger
    ٱلْبَلَٰغُ
    (is) the conveyance
    ٱلْمُبِينُ
    clear.

    Na mt'iini Mwenyezi Mungu, na mt'iini Mtume. Mkigeuka, basi hakika juu ya Mtume wetu ni kufikisha (Ujumbe wake) kwa uwazi tu.

    64:12

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani

Sura 64 At-Taghabun