Sura 43 Az-Zukhruf, aya 78

  1. لَقَدْ جِئْنَاكُمْ بِالْحَقِّ وَلَٰكِنَّ أَكْثَرَكُمْ لِلْحَقِّ كَارِهُونَ

    Tafsiri ya maneno

    لَقَدْ
    Certainly,
    جِئْنَٰكُم
    We have brought you
    بِٱلْحَقِّ
    the truth,
    وَلَٰكِنَّ
    but
    أَكْثَرَكُمْ
    most of you,
    لِلْحَقِّ
    to the truth
    كَٰرِهُونَ
    (are) averse.

    Kwa yakini tulikuleteeni Haki, lakini wengi katika nyinyi mlikuwa mnaichukia Haki.

    43:78

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani

Sura 43 Az-Zukhruf