Sura 27 An-Naml, aya 52

  1. فَتِلْكَ بُيُوتُهُمْ خَاوِيَةً بِمَا ظَلَمُوا ۗ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَةً لِقَوْمٍ يَعْلَمُونَ

    Tafsiri ya maneno

    فَتِلْكَ
    So, these
    بُيُوتُهُمْ
    (are) their houses,
    خَاوِيَةًۢ
    ruined
    بِمَا
    because
    ظَلَمُوٓا۟
    they wronged.
    إِنَّ
    Indeed,
    فِى
    in
    ذَٰلِكَ
    that
    لَءَايَةً
    surely, is a sign
    لِّقَوْمٍ
    for a people
    يَعْلَمُونَ
    who know.

    Basi hizo nyumba zao ni tupu kwa sababu ya walivyo dhulumu. Hakika bila ya shaka katika hayo ipo Ishara kwa watu wanao jua.

    27:52

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani

Sura 27 An-Naml