Sura 90 Al-Balad, aya 6 – 7

  1. يَقُولُ أَهْلَكْتُ مَالًا لُبَدًا

    Anasema: Nimeteketeza chungu ya mali.

    90:6
  2. أَيَحْسَبُ أَنْ لَمْ يَرَهُ أَحَدٌ

    Ati anadhani ya kuwa hapana yeyote anaye mwona?

    90:7

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani