Sura 90 Al-Balad, aya 4 – 6

  1. لَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنْسَانَ فِي كَبَدٍ

    Hakika tumemuumba mtu katika taabu.

    90:4
  2. أَيَحْسَبُ أَنْ لَنْ يَقْدِرَ عَلَيْهِ أَحَدٌ

    Ati anadhani hapana yeyote ataye muweza?

    90:5
  3. يَقُولُ أَهْلَكْتُ مَالًا لُبَدًا

    Anasema: Nimeteketeza chungu ya mali.

    90:6

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani