Sura 89 Al-Fajr, aya 7 – 8

  1. إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ

    Wa Iram, wenye majumba marefu?

    89:7
  2. الَّتِي لَمْ يُخْلَقْ مِثْلُهَا فِي الْبِلَادِ

    Ambao haukuumbwa mfano wake katika nchi?

    89:8

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani