Sura 89 Al-Fajr, aya 6 – 7 أَلَمْ تَرَ كَيْفَ فَعَلَ رَبُّكَ بِعَادٍ Kwani hukuona jinsi Mola wako Mlezi alivyo wafanya kina A'di? 89:6 إِرَمَ ذَاتِ الْعِمَادِ Wa Iram, wenye majumba marefu? 89:7 Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani Qur'ani Tukufu Sura 89 →