Sura 89 Al-Fajr, aya 29 – 30

  1. فَادْخُلِي فِي عِبَادِي

    Basi ingia miongoni mwa waja wangu,

    89:29
  2. وَادْخُلِي جَنَّتِي

    Na ingia katika Pepo yangu.

    89:30

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani