Sura 89 Al-Fajr, aya 1 – 5
-
وَالْفَجْرِ
Naapa kwa alfajiri!
89:1 -
وَلَيَالٍ عَشْرٍ
Na kwa masiku kumi!
89:2 -
وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ
Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja!
89:3 -
وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ
Na kwa usiku unapo pita!
89:4 -
هَلْ فِي ذَٰلِكَ قَسَمٌ لِذِي حِجْرٍ
Je! Hapana katika haya kiapo kwa mwenye akili?
89:5
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani