Sura 89 Al-Fajr, aya 1 – 4

  1. وَالْفَجْرِ

    Naapa kwa alfajiri!

    89:1
  2. وَلَيَالٍ عَشْرٍ

    Na kwa masiku kumi!

    89:2
  3. وَالشَّفْعِ وَالْوَتْرِ

    Na kwa viwili viwili na kimoja kimoja!

    89:3
  4. وَاللَّيْلِ إِذَا يَسْرِ

    Na kwa usiku unapo pita!

    89:4

Tafsiri: Ali Muhsin Al-Barwani