Sura 88 Al-Ghashiyah, aya 25 – 26

  1. إِنَّ إِلَيْنَا إِيَابَهُمْ

    Hakika ni kwetu Sisi ndio marejeo yao.

    88:25
  2. ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا حِسَابَهُمْ

    Kisha hakika ni juu yetu Sisi hisabu yao!

    88:26

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani