Sura 87 Al-A'la, aya 4 – 5 وَالَّذِي أَخْرَجَ الْمَرْعَىٰ Na aliye otesha malisho! 87:4 فَجَعَلَهُ غُثَاءً أَحْوَىٰ Kisha akayafanya makavu, meusi. 87:5 Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani Qur'ani Tukufu Sura 87 →