Sura 87 Al-A'la, aya 16 – 17 بَلْ تُؤْثِرُونَ الْحَيَاةَ الدُّنْيَا Lakini nyinyi mnakhiari maisha ya dunia! 87:16 وَالْآخِرَةُ خَيْرٌ وَأَبْقَىٰ Na Akhera ni bora na yenye kudumu zaidi. 87:17 Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani Qur'ani Tukufu Sura 87 →