Sura 83 Al-Mutaffifin, aya 20 – 21

  1. كِتَابٌ مَرْقُومٌ

    Kitabu kilicho andikwa.

    83:20
  2. يَشْهَدُهُ الْمُقَرَّبُونَ

    Wanakishuhudia walio karibishwa.

    83:21

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani