Sura 82 Al-Infitar, aya 7 – 8
-
الَّذِي خَلَقَكَ فَسَوَّاكَ فَعَدَلَكَ
Aliye kuumba, akakuweka sawa, akakunyoosha!
82:7 -
فِي أَيِّ صُورَةٍ مَا شَاءَ رَكَّبَكَ
Katika sura yoyote aliyo ipenda akakujenga.
82:8
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani