Sura 80 Abasa, aya 11 – 16

  1. كَلَّا إِنَّهَا تَذْكِرَةٌ

    Sivyo hivyo! Huku ni kukumbushana.

    80:11
  2. فَمَنْ شَاءَ ذَكَرَهُ

    Basi anaye penda akumbuke.

    80:12
  3. فِي صُحُفٍ مُكَرَّمَةٍ

    Yamo katika kurasa zilizo hishimiwa,

    80:13
  4. مَرْفُوعَةٍ مُطَهَّرَةٍ

    Zilizo inuliwa, zilizo takaswa.

    80:14
  5. بِأَيْدِي سَفَرَةٍ

    Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,

    80:15
  6. كِرَامٍ بَرَرَةٍ

    Watukufu, wema.

    80:16

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani