Sura 79 An-Nazi'at, aya 13 – 14 فَإِنَّمَا هِيَ زَجْرَةٌ وَاحِدَةٌ Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu, 79:13 فَإِذَا هُمْ بِالسَّاهِرَةِ Mara watakuwa kwenye uwanda wa mkutano! 79:14 Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani Qur'ani Tukufu Sura 79 →