Sura 78 An-Naba, aya 31 – 35

  1. إِنَّ لِلْمُتَّقِينَ مَفَازًا

    Hakika wachamngu wanastahiki kufuzu,

    78:31
  2. حَدَائِقَ وَأَعْنَابًا

    Mabustani na mizabibu,

    78:32
  3. وَكَوَاعِبَ أَتْرَابًا

    Na wake walio lingana nao,

    78:33
  4. وَكَأْسًا دِهَاقًا

    Na bilauri zilizo jaa,

    78:34
  5. لَا يَسْمَعُونَ فِيهَا لَغْوًا وَلَا كِذَّابًا

    Hawatasikia humo upuuzi wala uwongo,

    78:35

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani