Sura 78 An-Naba, aya 21 – 23

  1. إِنَّ جَهَنَّمَ كَانَتْ مِرْصَادًا

    Hakika Jahannamu inangojea!

    78:21
  2. لِلطَّاغِينَ مَآبًا

    Kwa walio asi ndio makaazi yao,

    78:22
  3. لَابِثِينَ فِيهَا أَحْقَابًا

    Wakae humo karne baada ya karne,

    78:23

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani