Sura 78 An-Naba, aya 12 – 16

  1. وَبَنَيْنَا فَوْقَكُمْ سَبْعًا شِدَادًا

    Na tukajenga juu yenu saba zenye nguvu?

    78:12
  2. وَجَعَلْنَا سِرَاجًا وَهَّاجًا

    Na tukaifanya taa yenye mwanga na joto;

    78:13
  3. وَأَنْزَلْنَا مِنَ الْمُعْصِرَاتِ مَاءً ثَجَّاجًا

    Na tukateremsha maji yanayo anguka kwa kasi kutoka mawinguni,

    78:14
  4. لِنُخْرِجَ بِهِ حَبًّا وَنَبَاتًا

    Ili tutoe kwayo nafaka na mimea.

    78:15
  5. وَجَنَّاتٍ أَلْفَافًا

    Na mabustani yenye miti iliyo kamatana.

    78:16

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani