Sura 75 Al-Qiyamah, aya 34 – 36

  1. أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ

    Ole wako, ole wako!

    75:34
  2. ثُمَّ أَوْلَىٰ لَكَ فَأَوْلَىٰ

    Kisha Ole wako, ole wako!

    75:35
  3. أَيَحْسَبُ الْإِنْسَانُ أَنْ يُتْرَكَ سُدًى

    Ati anadhani binaadamu kuwa ataachwa bure?

    75:36

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani