Sura 74 Al-Muddathir, aya 2 – 5

  1. قُمْ فَأَنْذِرْ

    Simama uonye!

    74:2
  2. وَرَبَّكَ فَكَبِّرْ

    Na Mola wako Mlezi mtukuze!

    74:3
  3. وَثِيَابَكَ فَطَهِّرْ

    Na nguo zako, zisafishe.

    74:4
  4. وَالرُّجْزَ فَاهْجُرْ

    Na yaliyo machafu yahame!

    74:5

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani