Sura 74 Al-Muddathir, aya 1 – 3

  1. يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ

    Ewe uliye jigubika!

    74:1
  2. قُمْ فَأَنْذِرْ

    Simama uonye!

    74:2
  3. وَرَبَّكَ فَكَبِّرْ

    Na Mola wako Mlezi mtukuze!

    74:3

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani