Sura 73 Al-Muzzammil, aya 12 – 13
-
إِنَّ لَدَيْنَا أَنْكَالًا وَجَحِيمًا
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
73:12 -
وَطَعَامًا ذَا غُصَّةٍ وَعَذَابًا أَلِيمًا
Na chakula kinacho kwama kooni, na adhabu inayo umiza.
73:13
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani