Sura 70 Al-Ma'arij, aya 24 – 25

  1. وَالَّذِينَ فِي أَمْوَالِهِمْ حَقٌّ مَعْلُومٌ

    Na ambao katika mali yao iko haki maalumu

    70:24
  2. لِلسَّائِلِ وَالْمَحْرُومِ

    Kwa mwenye kuomba na anaye jizuilia kuomba;

    70:25

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani