Sura 56 Al-Waqi'ah, aya 49 – 50
-
قُلْ إِنَّ الْأَوَّلِينَ وَالْآخِرِينَ
Sema: Hakika wa zamani na wa mwisho
56:49 -
لَمَجْمُوعُونَ إِلَىٰ مِيقَاتِ يَوْمٍ مَعْلُومٍ
Bila ya shaka watakusanywa kwa wakati wa siku maalumu.
56:50
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani