Sura 56 Al-Waqi'ah, aya 10 – 12
-
وَالسَّابِقُونَ السَّابِقُونَ
Na wa mbele watakuwa mbele.
56:10 -
أُولَٰئِكَ الْمُقَرَّبُونَ
Hao ndio watakao karibishwa
56:11 -
فِي جَنَّاتِ النَّعِيمِ
Katika Bustani zenye neema.
56:12
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani