Sura 40 Ghafir, aya 71 – 72

  1. إِذِ الْأَغْلَالُ فِي أَعْنَاقِهِمْ وَالسَّلَاسِلُ يُسْحَبُونَ

    Zitakapo kuwa pingu shingoni mwao na minyororo, huku wanabururwa

    40:71
  2. فِي الْحَمِيمِ ثُمَّ فِي النَّارِ يُسْجَرُونَ

    Katika maji ya moto, kisha wanaunguzwa Motoni,

    40:72

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani