Sura 37 As-Saffat, aya 1 – 4

  1. وَالصَّافَّاتِ صَفًّا

    Naapa kwa wanao jipanga kwa safu.

    37:1
  2. فَالزَّاجِرَاتِ زَجْرًا

    Na kwa wenye kukataza mabaya.

    37:2
  3. فَالتَّالِيَاتِ ذِكْرًا

    Na kwa wenye kusoma Ukumbusho.

    37:3
  4. إِنَّ إِلَٰهَكُمْ لَوَاحِدٌ

    Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja.

    37:4

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani