Sura 37 As-Saffat, aya 1 – 2

  1. وَالصَّافَّاتِ صَفًّا

    Naapa kwa wanao jipanga kwa safu.

    37:1
  2. فَالزَّاجِرَاتِ زَجْرًا

    Na kwa wenye kukataza mabaya.

    37:2

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani