Sura 2 Al-Baqarah, aya 1 – 2 الم Alif Lam Mim. 2:1 ذَٰلِكَ الْكِتَابُ لَا رَيْبَ ۛ فِيهِ ۛ هُدًى لِلْمُتَّقِينَ Hiki ni Kitabu kisichokuwa na shaka ndani yake; ni uwongofu kwa wachamungu, 2:2 Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani Qur'ani Tukufu Sura 2 →