Sura 26 Ash-Shu'ara, aya 193 – 195

  1. نَزَلَ بِهِ الرُّوحُ الْأَمِينُ

    Ameuteremsha Roho muaminifu,.

    26:193
  2. عَلَىٰ قَلْبِكَ لِتَكُونَ مِنَ الْمُنْذِرِينَ

    Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji,.

    26:194
  3. بِلِسَانٍ عَرَبِيٍّ مُبِينٍ

    Kwa ulimi wa Kiarabu ulio wazi.

    26:195

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani