Sura 26 Ash-Shu'ara, aya 192 – 194
-
وَإِنَّهُ لَتَنْزِيلُ رَبِّ الْعَالَمِينَ
Na bila ya shaka hii ni Uteremsho wa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
26:192 -
نَزَلَ بِهِ الرُّوحُ الْأَمِينُ
Ameuteremsha Roho muaminifu,.
26:193 -
عَلَىٰ قَلْبِكَ لِتَكُونَ مِنَ الْمُنْذِرِينَ
Juu ya moyo wako, ili uwe katika Waonyaji,.
26:194
Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani