Sura 20 Taha, aya 20 – 21

  1. فَأَلْقَاهَا فَإِذَا هِيَ حَيَّةٌ تَسْعَىٰ

    Akaitupa. Mara ikawa nyoka anaye kwenda mbio.

    20:20
  2. قَالَ خُذْهَا وَلَا تَخَفْ ۖ سَنُعِيدُهَا سِيرَتَهَا الْأُولَىٰ

    Akasema: Ikamate, wala usiogope! Tutairudisha hali yake ya kwanza.

    20:21

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani