Sura 112 Al-Ikhlas, aya 1 – 4

  1. قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ

    Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.

    112:1
  2. اللَّهُ الصَّمَدُ

    Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.

    112:2
  3. لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ

    Hakuzaa wala hakuzaliwa.

    112:3
  4. وَلَمْ يَكُنْ لَهُ كُفُوًا أَحَدٌ

    Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.

    112:4

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani