Sura 101 Al-Qari'ah, aya 9 – 11

  1. فَأُمُّهُ هَاوِيَةٌ

    Huyo maskani yake yatakuwa Moto wa Hawiya!

    101:9
  2. وَمَا أَدْرَاكَ مَا هِيَهْ

    Na nini kitacho kujuilisha nini hiyo?

    101:10
  3. نَارٌ حَامِيَةٌ

    Ni Moto mkali!

    101:11

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani