Sura 100 Al-Aadiyat, aya 6 – 7

  1. إِنَّ الْإِنْسَانَ لِرَبِّهِ لَكَنُودٌ

    Hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila kwa Mola wake Mlezi!

    100:6
  2. وَإِنَّهُ عَلَىٰ ذَٰلِكَ لَشَهِيدٌ

    Na hakika yeye mwenyewe bila ya shaka ni shahidi wa hayo!

    100:7

Tafsiri: Ali Muhsin al-Barwani